issam
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 250
- 23
[h=5]Price: TZS 600,000,000 ( Millioni mia sita ) Negotiable: Yes[/h]
Nyumba Nzuri sana ina tiles na kila kitu, Ina Vyumba 8, jiko 2, Public toilet 3 na master bedroom 2. Nyumba ni kali sana na iko eneo nzuri Magomeni mwembechai. Hakuna mafuriko wala maporomoko. Ukishainunua we ni kuhamia tu. Nyumba ina umeme na maji na iko mtaa mzuri sana. Kama unahitaji Unaweza piga simu number iliyoko chini hapo kwenda kuiangalia, maongezi yapo.
CONTACT: 0656868888 ULIZA SELE
Wahi kabla haijanunuliwa.