Nyumba inauzwa Magomeni Mwembechai

Nyumba inauzwa Magomeni Mwembechai

Chiwaso

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2009
Posts
5,725
Reaction score
3,796
Habari Wana JF.

Nyumba inauzwa, iko Magomeni Mwembechai,Mtaa wa Rudewa. Ina maji na Umeme. Haina Matatizo ya Barabara. Iapitika 24/7. Ni ya vyumba Sita(Nyumba Kubwa) na Vyumba Vitatu(Uani). Ina wapangaji tayari.

Ina Offer.

Inauzwa kwa sababu warithi wanataka kugawana. haina tatizo lolote lingine

Bei ni 250,000,000/=(Negotiable)

Call 0759888018 for more details.
 
Heheheee tuuze tugawane chetu kila mtu afe kivyake. Japo marehemu alikuwa na roho ngumu kweli, kafa bila kuuza
 
Heheheee tuuze tugawane chetu kila mtu afe kivyake. Japo marehemu alikuwa na roho ngumu kweli, kafa bila kuuza
Marehemu aliwaachia urithi wanawe.Hapo utakuta watoto wa kiswahili hawana hili wala lile lakini wako tayari kuuza nyumba.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom