Nimefungua hii thread kwa hamu kubwa!
Nimekatishwa tamaa Na jina la huo mtaa!!
Popo bawa???


Kudadadenye!!Eneo jirani na Popobawa linaitwa Tandale kwa Mkunduge!![]()
Panya road watakatizia wapi wakati kituo kinachofuata kutoka kwa Popobawa ni Kwa Bi. Nyau.Kudadadenye!!
Huko bila shaka ndio nyumbani kwa panya rodi!!