NYUMBA inauzwa mafinga

NYUMBA inauzwa mafinga

comrade il

Member
Joined
Mar 13, 2014
Posts
13
Reaction score
1
ukubwa-vyumba viwili pamoja na choo
ukubwa wa kiwanja-ni mita 50 kwa 30
huduma-maji na umeme vinapatikana Maji ni ya kisima na sio mbali toka mjini hivyo access kwa huduma nyingine ni rahisi pia
eneo-nyumba ipo kinyanambo b kitongoji cha upendo
bei-6m
mawasiliano:0752152754
 
picha,sababu ya kuuza, uwanja umepimwa na una hati ipi,?
 
picha,sababu ya kuuza, uwanja umepimwa na una hati ipi,?

nimepata kazi sehemu na ni jirani na nyumbani hivyo nitakuwa mbali kuweza imanage .uwanja haujapimwa na hauna hati ya mamlaka ya ardhi kwani kwa maelezo ya mamlaka upimaji ya viwanja katika maeneo haya utafanyika siku zijazo hivyo viwanja karibuni vyote havijapimwa lakini ukiweza mudu gharama unaweza pimiwa na kupata hati kama ukihitaji kwa gharama nje ya bei tajwa tunawezafanya mchakato huo binafsi nilishindwa kutokana na gharama zilizo kuwa zikihitajika .picha nashindwa jinsi ya kuattach
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom