yoga
JF-Expert Member
- Jan 6, 2013
- 2,004
- 10,399
Kuna nyumba zinauzwa JIJINI MWANZA maeneo ya Kirumba Mwaloni, karibu na soko kuu la kimataifa la Mwaloni! Nyumba zina eneo kubwa la kuweza kufanya mabadiliko ya aina yoyote mfano hoteli, frem za maduka /nyumba ya kuishi na nk.Kirumba Ni eneo zuri kwa ajili ya kuishi lakini pia laweza kuwa la kibashara! Bei ni MILIONI 80! Na nyingine ni milioni 55 Kwa mawasiliano zaidi piga simu no 0785 189588