Nyumba inauzwa Kunduchi

Nyumba inauzwa Kunduchi

MKONGORO

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2014
Posts
345
Reaction score
307
Wakuu salaam! Jirani yangu anauza nyumba yake Nyumba haijaisha ipo kwenye renter ni nyumba yenye vyumba 3 na sebule na pia kuna sehemu ya kuchimba choo na kalo. Nyumba ipo kunduchi eneo la meko mwendo wa dak 5 kwa mguu toka barabara ya Mwenge Bunju.

Bei ni mil 5.

Simu yangu imeshindwa kuweka picha.
kwa anae hitaji anicheki 0765544791 ili nimuunganishe na mwenyewe kwa mazungumzo zaidi.

Asanteni! haijakamilika imeishia kwenye renter.
 
ningeona picha uenda ningeridhika na kuingia hamasa ya kununua



cc: Rich Pol
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom