Nyumba inauzwa kinononi shamba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba inauzwa kinononi shamba

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Akiri, Apr 17, 2012.

 1. A

  Akiri JF-Expert Member

  #1
  Apr 17, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Imechakaa, ina vyumba nane na eneo lake ni kubwa unaweza jenga nyumba mpya na kubaki na eneo. bei 36m. 0657 14 5555
   
 2. saitama_kein

  saitama_kein JF-Expert Member

  #2
  Apr 17, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Ni nyumba ya urithi? Wasi wasi wangu ni gogoro za wana ndugu kwa nyumba hizo.....
   
 3. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #3
  Apr 17, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,078
  Likes Received: 7,295
  Trophy Points: 280
  Vipi mandhari ya pembeni yake (neighborhood)??
  Gari inafika getini?
  Barabara ya kufika hapo ikoje?
  Umbali from Main Road?
  Documents zote halali zipo?
  Usalama wa eneo? (Hakuna kijiwe cha wahuni/walevi pembeni),
  Nikija nijiandae na Service Fee ya Tshs ngapi kunipeleka?
  Hiyo Nyumba sio mhanga wa Mafuriko?
  Na nkinunua we utahitaji % ngapi?
  Je ni Kutoka kwangu/muuzaji/both? Kwanini?
   
 4. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #4
  Apr 17, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,078
  Likes Received: 7,295
  Trophy Points: 280
  Kaka nunua tu kama waihitaji,
  Ukimchunguza sana Bata HUMLI!!!
   
 5. A

  Akiri JF-Expert Member

  #5
  Apr 18, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  hii sehemu haina mafuriko. ni nyumba ya urith ambayo ndugu wote wamesaini mahakamani na wameridhia iuzwe , hayo mengine tutaongea kwenye cm.
   
 6. m

  manyusi JF-Expert Member

  #6
  Apr 18, 2012
  Joined: Mar 3, 2009
  Messages: 274
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  unaweza weka picha?
   
Loading...