SaaMbovu
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 6,028
- 5,359
Nyumba inauzwa Kinondoni A
Mtaa: Sekenke Karibu kabisa na Salon ya BM pia karibu na Stand ya Daladala (ziendazo posta na Station) Manyanya.
Ukubwa: wa eneo ni 322sqm
Ina hati.
Unaweza kuweka showroom ya gari, ukajenga ghorofa/nyumba ya kuishi nzuri, ukajenga frems nk. Kwa kuwa nyumba ya sasa ni ya siku nyingi kwahiyo kubadili ni uamuzi wako.
Muuzaji ni Mwenye nyumba. Ukifika unaongea nae moja kwa moja.
Bei: 300m. Inapungua.
Ni pm kwa mawasiliano zaidi.