Nyumba inauzwa KIMARA

Nyumba inauzwa KIMARA

Baba Kapompo

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2013
Posts
1,344
Reaction score
468
Nyumba inauzwa maeneo ya kimara mwisho 2km kutoka morogoro road
nyumba ina 2 bed room+master+sitting room+kichen & store
ina umeme ,ina plaster but haijafanyiwa finishing(tiles_rangi bado) (board+fan vyumba vyote n.k tayari)
But haina fensi
bei TSH 60,000,000/= inapungua
samahanini kwa maelezo meni hii yote kwa sababu nimeshindwa kuattach pics ila ntajitahid kuziweka as soon as possible
karibun cont: 0718776676
 
Du ebwana kwa mara ya kwanza tokea najiunga na JF kuona mtu anaeuza nyumba kwa bei ndogo, kuna mwenzako ametangaza leo kutokea Tabata Segerea anataka milion 250.Anyway elekeza nyumba yako ipo Kimara ipi maana Kimara nayo ni kubwa asikuambie mtu.Kuna Kimara Kilungule, King'ong'o,Suka,Stop Over, Golani,Bonyokwa,kwa Mrema.Sasa wewe upo Kimara ipi ndugu yangu?
 
barabara inayoelekea
bonyokwa but hufiki kule unaishia kwa mashaka/kwa bonge mkuu
 
Barabara ya kwenda Bonyokwa unamaanisha Kimara Mwisho then unaingia kushoto kama unatokea Ubungo, vipi unafika darajani pale oposite na Midland High School na je kama unafika darajani unaelekea upande upi.Ule wa vyumba vinane ama unaelekea kwa mama Stellah?
 
vyumba vinane pale -kwa mrema -then kwa mashaka umefika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom