MT255
JF-Expert Member
- May 3, 2012
- 3,728
- 4,999
Kama kichwa cha habari kinavyosema...
Nauzwa nyumba mpya ambayo haifanyiwa finishing...nyumba ipo kimara suka maeneo ya Golan
nyumba ina umeme
Ina vyumba 3,jiko,stoo,sebule
Ina madirisha ya aluminium nyumba nzima.
Gali inafika mpaka mlangoni
Ina fikika wakati wowote iwe mvua au kiangazi)
Na ina eneo kubwa kwa ajili ya ujenzi wa mabanda ya uwani....bei mil70 maongezi yapo....kwa mawasiliano 0655090000
Nyumba sio ya familia wala haina mgogolo
Na mimi ndio mmiliki na sio dalali.