Nyumba inauzwa Kigamboni

Nyumba inauzwa Kigamboni

Majigo

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
5,519
Reaction score
1,831
sitingRoom 2
vyumba vitatu
master 1
nafasi ya kupaki gari
bei:::milion 32
 
sitingRoom 2
vyumba vitatu
master 1
nafasi ya kupaki gari
bei:::milion 32

Kigamboni eneo gani? Hebu weka picha ya muenekano wake kwa nje ili tupate hamasa ya kuja kuangalia ndani
 
Kigamboni eneo gani? Hebu weka picha ya muenekano wake kwa nje ili tupate hamasa ya kuja kuangalia ndani

haina shaka nitaweka chief samahani mtandao hauko vzur kwa sasa
eneo ni vjibweni
 
Weka Mawasiliano yako, Pia uturidhishe sio sehemu ya Zile zinazofutwa na Tinga tinga la Magufuli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom