Nyumba inauzwa Kigamboni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba inauzwa Kigamboni

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Doltyne, Dec 16, 2012.

 1. Doltyne

  Doltyne JF-Expert Member

  #1
  Dec 16, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 443
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  NYUMBA INAUZWA:
  Ipo Kigamboni (Mikwambe). Kilometa 15 kutoka Ferry, Kilometa 13 kutoka Kongowe, Mita 100 tu Kutoka barabara ya lami iendayo kongowe. Ipo nje kabisa ya mradi. Kiwanja kina ukubwa wa 1200 Square Meters (kimepimwa lakini hakina hati ie surveyed plot), Nyumba ina ukubwa wa 138 Square meters, Imejengwa pembeni ya kiwanja kilicho tambarare kwahiyo kuna nafasi kubwa sana ya kujenga nyumba kubwa zaidi ndani ya kiwanja. Ina vyumba viwili vikubwa vya kulala, Haina Master bedroom, Ina Public toilet/bath kubwa, Ina jiko kubwa la kutosha, Open Plan Living/Diner. Imefanyiwa wiring, plumbing na finishing. Madirisha ni makubwa ya kutosha, (Mita 8*6 na mita 6*6), Ina tyles, Gypsum, Smooth walls, Rangi nk, Milango ya mbele na nyuma ni Secure doors isiyohitaji grills, Milango ya ndani yote ni mninga. Ina uwezekano wa kuongezeka ukubwa wa nyumba kwa kuongeza master bedroom pembeni. Ina Umeme Wa Solar (690 Watts solar system), Maji Ni ya kuchimba kisima.
  Bei ni 90,000,000 Tshs TU (Maelewano yapo). PM au piga simu namba 0714881500
  View attachment 75360 View attachment 75361 View attachment 75367 View attachment 75362 View attachment 75363 View attachment 75364 View attachment 75420 View attachment 75366
   
 2. M

  Moony JF-Expert Member

  #2
  Dec 16, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,593
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  ofa yangu milioni 20
   
 3. NDEO

  NDEO JF-Expert Member

  #3
  Dec 16, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 806
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 45
  Offer ya 21M cash
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Dec 16, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,136
  Likes Received: 2,334
  Trophy Points: 280
  Ipo meneo ya mikwambe CCM?
   
 5. Doltyne

  Doltyne JF-Expert Member

  #5
  Dec 16, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 443
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ndio. Mita 100 tu kutoka barabarani
   
 6. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #6
  Dec 16, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,981
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Haipo kwenye mradi wa bush?
   
 7. Doltyne

  Doltyne JF-Expert Member

  #7
  Dec 16, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 443
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Haipo. Mradi upo kata ya Mjimwema na magogoni. Huku ni kata ya Tuangoma.
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  Dec 16, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,136
  Likes Received: 2,334
  Trophy Points: 280
  OK Pazuri sema price ipo juu kidogo jaribu kuishusha weka 40-45m ndio reasonable,Unavyosema kimepimwa lakini hakina hati ina maana huyo anayemiliki amekipatapata vipi? Amerithi kutoka kwa babu bila hata maandishi? au kama alinunua hakuna hata maandishi na sahihi za shahidi na ofisa mtendaji?
   
 9. Doltyne

  Doltyne JF-Expert Member

  #9
  Dec 16, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 443
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ushauri mzuri mkuu, ila inaelekea umepitiwa mbali kidogo na gharama za ujenzi na viwanja. 45 ni pesa ndogo sana kwa quality ya materials yaliyotumika kujenga hii nyumba. Ukipiga simu ntakueleza vema.
  Kimepimwa maana yake kimeshakuwa survayed na kimeshawekwa mawe, Bado kupitisha mchoro manispaa then ndio hati (title deed) itolewe... Kwakuwa Napima mwenyewe, nahitaji kusubiri subiri majirani wapime tupeleke mchoro wa pamoja, ndio kupata Hati.
  Otherwise maandishi ya mauziano ya kiwanja na umiliki yapo.
  NB: Mimi ndio mmiliki.
   
 10. Doltyne

  Doltyne JF-Expert Member

  #10
  Dec 17, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 443
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  You are kidding, right!??
   
 11. A

  Akiri JF-Expert Member

  #11
  Dec 17, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,440
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Kitu kimesisimama sana na bei siyo mbaya ngoja nikuletee kichwa ....mkuu
   
 12. Doltyne

  Doltyne JF-Expert Member

  #12
  Dec 17, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 443
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hakuna shaka kaka.
   
 13. sexologist

  sexologist JF-Expert Member

  #13
  Dec 17, 2012
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 2,296
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  42m cash in hand...
  agree? lemmi know..!!
   
 14. Doltyne

  Doltyne JF-Expert Member

  #14
  Dec 17, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 443
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Thanks for the offer. but no thanks.
   
Loading...