uberimae fidei
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,789
- 4,459
Kibaha visiga mkuukibaha sehemu gani
Karibu kwanza ufike ,ujioner Kisha bei inazungumzika mkuuBei ya mwisho ?
Karibu pm tuzungumze auBei ya mwisho ?
Karibu boss
Kwa nini unauza?Nyumba ipo kibaha visiga madafu.
Nyumba Ina vyumba 5 vya kulala,viwili master bedroom.
Nyumba Ina mabanda makubwa ya kuku,ya mbuzi na ng'ombe.
Ina nyumba ya wafanyakazi.
Kuna kisima kikubwa Cha maji,na maji dawasco pia yapo.
Ukubwa wa eneo eka Moja.
Kuna fence.
Ina hati ya wizara(title deed)
Umbali Mita 400 kutoka morogoro road.
Bei milioni 80
Mawasiliano 0678908743
Nyumba ipo kibaha visiga madafu.
Nyumba Ina vyumba 5 vya kulala,viwili master bedroom.
Nyumba Ina mabanda makubwa ya kuku,ya mbuzi na ng'ombe.
Ina nyumba ya wafanyakazi.
Kuna kisima kikubwa Cha maji,na maji dawasco pia yapo.
Ukubwa wa eneo eka Moja.
Kuna fence.
Ina hati ya wizara(title deed)
Umbali Mita 400 kutoka morogoro road.
Bei milioni 80
Mawasiliano 0678908743
Soma huo ukubwa na vitu vilivyopo80million mikoani?
Sawa sawaNgoja mpaka January tuone hii nchi inaendaje, maana usikute ni ya Mtendaji na wahuni wameiweka kwenye ratiba za uhuni wao wa kuandamana
Ngoja mpaka January tuone hii nchi inaendaje, maana usikute ni ya Mtendaji na wahuni wameiweka kwenye ratiba za uhuni wao wa kuandamana
Uhamisho wa kikaziKwa nini unauza?
Kawaida tu dogo, usijali!
Mkuu umenifanya ncheke Kwa sauti kubwa sanaNgoja mpaka January tuone hii nchi inaendaje, maana usikute ni ya Mtendaji na wahuni wameiweka kwenye ratiba za uhuni wao wa kuandamana
DahMkuu umenifanya ncheke Kwa sauti kubwa sana