Nyumba inauzwa Keko Toroli

kongomboli

Senior Member
Apr 11, 2011
155
34
eneo la skwata,nyumba ina vyumba sita,choo, ina eneo kubwa, nyumba ni ya kizamani ila eneo linalipa na lipo katika hali nzuri.Bei yake ni Tshs 40,000,000/=.Ukitaka kuliona eneo nipigie +255715 46 74 47
 
Hivi kule kunapitika ? I mean nitaweza kupaki gari home? Ila ni kujiandaa na vibaka??!!! Balaa kule
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom