kongomboli
Senior Member
- Apr 11, 2011
- 156
- 35
Ina ukubwa wa SqM 400, ina vyumba 6, sitting room 1 na fremu 2 za biashara. Ipo Kawe "A" imetazama barabarani. Bei Tshs 80 milioni. Tuwasiliane 0715 46 74 47
mtaa iliyopo hiyo nyumba, je, gari linafika? Packing
Ipo Kawe "A" imetazama barabarani.
Kuwa inatazama barabarani, haimaanishi ina eneo la maegesho ya gari
Kuwa inatazama barabarani, haimaanishi ina eneo la maegesho ya gari
packing ??????
Sio maegesho ya gari