Nyumba inauzwa Kariakoo

Nyumba inauzwa Kariakoo

SOKONI

Senior Member
Joined
May 23, 2013
Posts
171
Reaction score
40
Ipo karibu na klabu ya yanga,bei Mil 600. Ina hati na unaruhusiwa kuhakiki. Siriasi buyers wani PM. Kama we ni dalali nijulishe tuelewane kabla ya biashara kufanyika.Maoengezi yapo.

Sokoni.
 
...funguka kidogo kiongozi tujue huo mjengo ukoje...
 
...funguka kidogo kiongozi tujue huo mjengo ukoje...
mkuu ni mahali pazuri kwa biashara,ni eneo linaloendelezwa kwa kasi sana,hasa baada ya klabu ya yanga kuanza mpango wa kujenga uwanja wa kisasa,pia ni eneo la biashara. karibu kama unahitaji tuongee
 
Ipo karibu na klabu ya yanga,bei Mil 600. Ina hati na unaruhusiwa kuhakiki. Siriasi buyers wani PM. Kama we ni dalali nijulishe tuelewane kabla ya biashara kufanyika.Maoengezi yapo.

Sokoni.

Mkuu, Club ya Yanga ipo Jangwani na sio Kariakoo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom