P Pastor steven mdoe Senior Member Jan 13, 2016 113 34 Jun 25, 2016 #1 Nyumba INA vyumba 3 kimoja self, jiko,nk Nyumba bado mpya. Bei yake 150ml. Maongezi yapo, kwa mawasiliano zaidi au kutaka kuiona wasiliana nami kwa 0756060183 Attachments 1466877610359.jpg 58.4 KB · Views: 74 1466877648587.jpg 53.9 KB · Views: 80
Nyumba INA vyumba 3 kimoja self, jiko,nk Nyumba bado mpya. Bei yake 150ml. Maongezi yapo, kwa mawasiliano zaidi au kutaka kuiona wasiliana nami kwa 0756060183
Man Mvua JF-Expert Member Apr 12, 2016 2,184 3,517 Jun 26, 2016 #2 Duuh hizi bei ,,,,, I think am wrong place
Nkuba25 JF-Expert Member Nov 18, 2015 2,268 12,494 Jun 27, 2016 #3 Man Mvua said: Duuh hizi bei ,,,,, I think am wrong place Click to expand... Hiyo Bei ni reasonable kabisa. Kwa mfano kwa maeneo hayo kiwanja plus ujenzi kwa sasa lazima ifike 140mil plus. Yaani hapo bei hipo vizuri sana
Man Mvua said: Duuh hizi bei ,,,,, I think am wrong place Click to expand... Hiyo Bei ni reasonable kabisa. Kwa mfano kwa maeneo hayo kiwanja plus ujenzi kwa sasa lazima ifike 140mil plus. Yaani hapo bei hipo vizuri sana
T TRUVADA JF-Expert Member Jan 6, 2014 4,539 1,772 Jun 27, 2016 #4 Nkuba25 said: Hiyo Bei ni reasonable kabisa. Kwa mfano kwa maeneo hayo kiwanja plus ujenzi kwa sasa lazima ifike 140mil plus. Yaani hapo bei hipo vizuri sana Click to expand... Kiwanja ni sh ngapi kwa mfano ,mpaka ifike hiyo 140ml
Nkuba25 said: Hiyo Bei ni reasonable kabisa. Kwa mfano kwa maeneo hayo kiwanja plus ujenzi kwa sasa lazima ifike 140mil plus. Yaani hapo bei hipo vizuri sana Click to expand... Kiwanja ni sh ngapi kwa mfano ,mpaka ifike hiyo 140ml
Nkuba25 JF-Expert Member Nov 18, 2015 2,268 12,494 Jun 27, 2016 #5 Kiwanja maeneo ya IPTL kinaweza kuwa 40mil kama ni 1200 square meters. Ujenzi fanya maximum ya 80mil. Hapo kila kitu, kuanzia msingi hadi finishing Kwa hiyo jumla inaweza kuwa kati ya 120mil - 130mil. Ndio maana nasema 140mil ni reasonable
Kiwanja maeneo ya IPTL kinaweza kuwa 40mil kama ni 1200 square meters. Ujenzi fanya maximum ya 80mil. Hapo kila kitu, kuanzia msingi hadi finishing Kwa hiyo jumla inaweza kuwa kati ya 120mil - 130mil. Ndio maana nasema 140mil ni reasonable