Nyumba inauzwa ipo mbezi ya kimara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba inauzwa ipo mbezi ya kimara

Discussion in 'Matangazo madogo' started by tabu kuishi, Jun 25, 2012.

 1. t

  tabu kuishi JF-Expert Member

  #1
  Jun 25, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 354
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Nyumba ya ukubwa wa room 3 sebule dining na choo cha ndani chumba kimoja ni master, ipo umbali wa km 4 toka mbezi mwisho upande kulia kama unatoka kimara bei milioni 28,000,000/= 0787 139327 or ni pm for more information
   
 2. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #2
  Jun 25, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,724
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Bei ni nzuri, wadau changamkieni fasta wadau!
   
 3. SIMBA mtoto

  SIMBA mtoto JF-Expert Member

  #3
  Jun 25, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 208
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kiwanja kina ukubwa gani. Je kina hati?
   
Loading...