leonard ngobole
Member
- Jun 11, 2011
- 83
- 49
Nyumba inamilikiwa na kampuni Kama kweli una Nia au una mteja Basi waweza fika ofisini kwetu sinza Mori karibu na ukumbi wa golden memory au Rita tower posta gorofa ya 18 kwa maelezo zaidi na kukagua maliNdani hamjafanikiwa kuingia
Hapana sio hii. Hii ni ya mdeni wa Tanzania Posta BankMbona ni kama ile ya ugomvi Wa uridhi
Bei elekezi ya kampuni ni million 200 pungufu unaongeaMbona hujaweka bei yake
Ngoja nikabeti mieBei elekezi ya kampuni ni million 200....
Pambana mkuu. Hata mbuyu ulianza Kama mchicha...nikabeti
Karibu ofisini kwetu kwa ajili ya mazungumzo na mkurugenzi...Tunapatikana Rita tower gorofa ya 18 au sinza Mori karibu na golden memory hall au waweza piga simu namba 0684420141 au 0658083460Ipo 120m
Kama hutojali pia waweza kutupa namba yako ili tukutafuteKaribu ofisini kwetu kwa ajili ya mazungumzo na mkurugenzi...Tunapatikana Rita tower gorofa ya 18 au sinza Mori karibu na golden memory hall au waweza piga simu namba 0684420141 au 0658083460
Karibu ofisini kwetu kwa ajili ya mazungumzo na mkurugenzi...Tunapatikana Rita tower gorofa ya 18 au sinza Mori karibu na golden memory hall au waweza piga simu namba 0684420141 au 0658083460Am in....