picha itawekwa j3 kaka, lakini wako ambao wamepiga cm na wamekuja kuiona. asante kwa ushauriBe serious with your business. Utatangaze nyumba inauzwa bila hata kuweka picha kuonyesha inafananaje. Hapa unaangalia biashara ya milions of money be serious.
picha itawekwa j3 kaka, lakini wako ambao wamepiga cm na wamekuja kuiona. asante kwa ushauri
Bei je??[/QUOT2
bei ni 250m. nibigie tutaongea zaidi
kwa kawaida mtu anayenipigia cm ndiyo namueleza yote, pia huwa kuna gharama za kumpeleka mtu akaone nyumba
250,000.000.00 inazungumzikaNi Tshs ngapi hizo gharama tujiandae kabisa tukikutafuta??
250,000.000.00 inazungumzika