FisadiKuu JF-Expert Member Nov 19, 2015 8,167 13,443 May 30, 2017 #2 Unachouza Million 180 usawa huu wa Magufuli ni hiyo nyumba au hizo Sqm 1000??
Mookiesbad98 JF-Expert Member Feb 1, 2015 2,637 3,351 May 30, 2017 #3 We unayeuza itakuwa mchungaji makonda wewe. Hujaacha hizi style tu
Man Mvua JF-Expert Member Apr 12, 2016 2,183 3,520 May 30, 2017 #4 Wapigie wale jamaa wa TMAA ndo watakuwa na hiyo pesa mzee hapa utapoteza Muda bure.