Nyumba inauzwa ipo ipo temeke

Nyumba inauzwa ipo ipo temeke

Akiri

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,445
Reaction score
217
Nyumba bado haijakamilika . mnunuzi ataimalizia ina sifa zifuatazo
ina vyumba vinne vya kulala kimoja master
ina jiko, stoo, sehemu ya chakula, choo cha wageni na sehemu ya kusomea
nyaraka zote muhimu zipo
gari inafika mpaka nyumbani
kiwanja kina upana wa 50 ft na urefu 70ft
ipo temeke chamanzi, inauzwa 35 millioni mazungumzo yanakaribishwa
kwa mawasiliano zaidi Havilla Real Estate Agent 0657 14 55 55, 0755 099 291 na 0686 200 117
 
Attachments

  • nyumba[1].jpg
    nyumba[1].jpg
    199.3 KB · Views: 348
Mkuu temeke kubwa, ni Temeke gani hiyo, gusia japo kodogo bei, just weka range inaanzia dollar ngapi mpaka ngapi?
 
Mkuu temeke kubwa, ni Temeke gani hiyo, gusia japo kodogo bei, just weka range inaanzia dollar ngapi mpaka ngapi?

sawa mkuu inauzwa 35m ipo chamazi mkuu
 
Mkuu temeke kubwa, ni Temeke gani hiyo, gusia japo kodogo bei, just weka range inaanzia dollar ngapi mpaka ngapi?

Ipo chamazi inauzwa 35m, mazungumzo yapo
 
waaoh...kanyumba kazuri....haya wenye mahela yenu nunueni kitu hicho,nimeipenda ila hela sina....
 
Nyumba ni nzuri sana ila hela ndio hatuna mkuu Wenye mahela changamkieni.....
 
Chamanzi si ndiko uliko uwanja wa timu ya Azam??

Kama ndiko itakua ni pale mbagala mjini (Zakiem) unakata kulia then unaenda kilometa za kutosha tu (labda 10)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom