Gamalak
Member
- May 27, 2018
- 56
- 167
Ina vyumba 4, Setting room ,dining room ,
Jiko na room mbili ambazo ni Master ila nyumba haijaisha,
Ipo kwenye barabara ya mtaa,na gari inafika mpaka hapo
Eneo limepimpwa na Linahati pia,
Ukipenda utaenda ardhi kuhakiki.
Bei Milion 100 Ila mazungumzo yapo.
kwa mawasiliano zaidi nichek pm kwa Mteja ambaye yuko serias njoo Pm..