Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,384
- 11,286
Nyumba nzuri iliyokamilika na ina uzio ipo Manispaa ya Dodoma, Kiwanja (Plot) 440 Block C Nkuhungu East
Nyumba ipo kituo cha mwisho cha Daladala CCM nkuhungu Kiwanja kina ukubwa wa mita 22 kwa mita 40
Nyumba ina
Kwa Mawasiliano zaidi piga 0788-287729, 0766-775082, 0764-150790, 0765-748652
Nyumba ipo kituo cha mwisho cha Daladala CCM nkuhungu Kiwanja kina ukubwa wa mita 22 kwa mita 40
Nyumba ina
- Master Bedroom moja
- Vyumba vya kawaida 3
- Choo cha ndani kimoja
- Sehemu ya Chakula
- Jiko
- Sebule 2 kubwa
- Egesho la Magari 2
- Ukuta mrefu wa kuizunguka nyumba
Kwa Mawasiliano zaidi piga 0788-287729, 0766-775082, 0764-150790, 0765-748652