Nyumba inauzwa Dar-Magomeni Mikumi

Nyumba inauzwa Dar-Magomeni Mikumi

beko

Senior Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
191
Reaction score
92
Nyumba inauzwa, iko magomeni mikumi, mtaa wa Ifunda, ukubwa wa kiwanja chenye hiyo nyumba, Mita za Mraba 484, na kina Hati. kwa anayehitaji tuma PM
 
Hahaha elezea nyumba sio kiwanja na kama ulivyoshauriwa hapo juu...weka picha, bei na simu.

Mbona hii issue ya namna gani utangaze bidhaa yako imeishaelezewa sana hum lakin watu hatubadiriki?
 
dalali mwoga, anaogopa akiweka picha na bei watu wataijua nyumba na kumfuata mwenye nyumba direct!
 
dalali mwoga, anaogopa akiweka picha na bei watu wataijua nyumba na kumfuata mwenye nyumba direct!

kweli kabisa, alafu tatizo deals humu unakuta mtu ni wa kati lakini hasemi alafu wengine deal wanaskia juu juu ukiendea mbio mtu anapotea...kwikwikwikwi
 
Nyumba inauzwa, iko magomeni mikumi, mtaa wa Ifunda, ukubwa wa kiwanja chenye hiyo nyumba, Mita za Mraba 484, na kina Hati. kwa anayehitaji tuma PM

Kanunue mwnywe basi naona unajishauri kuweka pict
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom