Nyumba inauzwa chap chap Makongo

Nyumba inauzwa chap chap Makongo

GISAMBO

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2014
Posts
1,216
Reaction score
1,982
Kama ghorofa ina Juu na chini
1. Juu
Vyumba vyakulaa 4
Kila chumba kina choo ndani.
Sebule kubwa
Jiko kubwa na stoo yake
Dining kubwa
Public toilet

Jumla ya varanda za kupumzikia zipo 4.

2. Chini.
Sebule,
Chumba na choo ndani
Pia kuna stoo kubwa sana chini

Parking kubwa
Kisima cha maji
Umeme.

Bado.
Makabati ya ukutani
Madirisha ya vioo,
Geti kubwa pamoja na paving block

Mita 300 toka barabara ya rami
Kilometer 7 mpaka ubungo mataa

Kimepimwa na fully docoment

Price 200M mazungumzo yapo kidogo
Pm for serious buyer
245f6de32ef42af7d8a57b62d06bd711.jpg
b760e4e9d2cece9da76d6243eb1a39a5.jpg
8926280a1d5962957bef1d43e9b9223c.jpg
9d7fa206ba4bb0de55bc68a16e23a18b.jpg
a731b08c74c3d5a796254db10f2354ce.jpg
58943e0d7613d9f39e4eb6be025ecbb3.jpg
/www.jamiiforums.com/mobile-gallery/aa4626156e86293a198538ee4779a0a2.jpg[/IMG]

iPhone 7 /A1786)
 
Biashara nzuri.

Sent from my iPhone 8 using JamiiForums mobile app
 
Asante kwa taarifa ila rekebisha tangazo..
 
Serious buyer atakuja kuona

iPhone 7 /A1786)
 
Kaa kwa mbali uchukue picha zitakazoonyesha nyumba yote kwa mbele, nyuma na pembeni. Mtu anahitaji kujua akitokea getini atakua anaiona Nyumba imekaa vipi (Muonekano wa Mbele).
Hizo tiles sijui Karo la kupigia mswaki na feni ni very minor issue katika kumshawishi mtu.
 
Unaiba au??? Una kimbia nn toa detail zote sio bla bla hizi
 
sasa badala ya kuonesha nyumba ilivyo kwa nje na ilivyo yenyewe unatupigia hadi choo sisi kinatuhusu nini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom