Duh,umsakini mbaya,aisee hata kama vyumba viwili lakini bei rahisi.
Sema nakushauri ungeweka pia ukubwa wa kiwanja chake ili iwe rahisi mtu kujua kama akitaka kuitanua inakuwaje.
Maana hapo naona umeme upo mlangoni
Kweli umaskini mbaya anauza kwasababu ya shida ya pesa,ukinunua unahamia kila kitu tayari,bado umeme tu