kasuku mtu
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 321
- 94
Mjengo mwingine huo bei 45 m vyumba vitatu vya kulala kati ya hivyo kimoja ni master, Sitting room, Dinning, jiko na store, public toilet na eneo nje limebaki la kujenga fence inayoingia gari 3 ndogo na pia kuna tower la tank la maji. Mawasiliano 0715426668


