Nyumba inauzwa Brbr ya 12 Dodoma

Nyumba inauzwa Brbr ya 12 Dodoma

Ukwaju

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Posts
13,384
Reaction score
11,268
IMESHANUNULIWA
Ni nyumba nzuri kwa ajili ya kuweka Maduka ya biasha au kujenga Ghorofa kwa ajili ya Kitega uchumi
Ipo katika eneo zuri kwani ni J
Wenye nyumba hii wanapenda kuwashukuru wote wliochangia au kujibu kwa post,
wapenda kuwaarifu kuwa nyumba hii imeshapata mnunuzi
Asanteni
 

Attachments

  • IMG01628.jpg
    IMG01628.jpg
    23.2 KB · Views: 244
  • IMG01630.jpg
    IMG01630.jpg
    96.6 KB · Views: 368
  • IMG01634.jpg
    IMG01634.jpg
    137 KB · Views: 294
Weka bei mkuu!

Ni nyumba nzuri kwa ajili ya kuweka Maduka ya biasha au kujenga Ghorofa kwa ajili ya Kitega uchumi
Ipo katika eneo zuri kwani ni Jirani na Ghorofa za Akiba Commercial Bank na Ghorofa la Twiga Bancorp kwa nyuma nyumba hii inapakana na PAICO Ltd
View attachment 129358 View attachment 129359 View attachment 129360 ni nyumba inayoonekana na bati la kijani
inapakana na yenye bati jekundu
(nyumba inayozungumziwa ni yenye bati la kijani}

Kwa maelezo zaidi tuwasiliane kwa simu 0715-649214 ulizia F. J. KOMANYA

au niPM kwa undani zaidi

 
Wameanzia na 400m (milioni mia nne) kwa maongezi LIBRARY na investa.tz hawa wenye mali wanashuka hakuna kinachoshindikana
Ni nyumba ipo katika maji safi na taka (Sewarage system), umeme, nzuri kwa ajili ya kuweka Maduka ya biashara au kujenga Ghorofa kwa ajili ya Kitega uchumi ni eneo maalumu kwa ajili ya kujenga Maghorofa kwani lipo Mjini ati kabisa
Ipo katika eneo zuri kwani ni Jirani na Ghorofa za Akiba Commercial Bank na Ghorofa la Twiga Bancorp kwa nyuma nyumba hii inapakana n

 
imetulia,ngoja nimcheki ridhiwani,mwana wa mfalme,atatia mawe tu hapa manake mchongo wake fulani wa sembe ulitick,ana mavumba mabaya sana
 
Hata mm nakubali km ni Milioni 400 ni matajiri tu kwani hapo mtu ananunua Kiwanja nyumba mbona kaa ya tope?
sifa yake ni kwamba ipo karibu na hizo Benki na hiyo barabara iliyojenhgwa juzi ndio imeongezea umaa rufu na kuipandisha chart Waambie wapunguze bei???
 
Hata mm nakubali km ni Milioni 400 ni matajiri tu kwani hapo mtu ananunua Kiwanja nyumba mbona kaa ya tope?
sifa yake ni kwamba ipo karibu na hizo Benki na hiyo barabara iliyojenhgwa juzi ndio imeongezea umaa rufu na kuipandisha chart Waambie wapunguze bei???
Madalali wanaharibu sana bei.... Hiyo nyumba ni max of 250
 
attachment.php

attachment.php


Bado Mji huo kuitwa Jiji au viwanja kufikia bei ya Kariakoo
Punguzeni bei tuwaletee wateja nyumba hiyo ni ya tope hapo ni kiwanja kweli wala sio jengo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom