Sasa mnataka 2b, sawa ila simtumie pesa hata millioni basi kutengeneza mazingira ya nyumba ili ivutie mteja? hata kama wengine wana pesa yao wakiona palivyo pachafu na kuwa wakinunua itabidi watengeneze na kupaka rangi kuta chafu hivyo duh si mtu anagaili jamani.
Kwa kweli hata sijui mtu unakaaje kwenye nyumba kwa mazingira hayo halafu unakuja bila aibu eti unauza pesa hiyo, duh
haya mtazamo wangu tu hata picha kuangalia zinachosha.
watu mjue kuuza nyumba, ikiwa bomba hata siku moja haipiti inachukuliwa.
itabidi mumpunguzie pesa atakayenunua ili ifidie cost za kutengeneza na kupaka rangi kuondoa uchafu huo, na kuweka chochte kufunika uo udongo.