Humble African
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 4,779
- 14,377
Sold
Weka picha.
Ninajaribu kupandisha picha zinagoma ila nimefanikiwa kupandisha chache hizo hapo juu.Picha na ukubwa wa eneo tafadhali
Mkuu kwa ndani iko katika hali nzuri na kuna watu wanaishi ikiwa na mioango ya kisasa kwa ndani. Ni plaster ya nje tu na plaster ya sebule ndio bado.Wewe umesema nyumba ndgu, Mbona naona nyumba ambayo haikjamaliziwa.
Nimejenga sehemu ambayo nimekulia na kuzaliwa. Mama, baba, Dada, shangazi, wajomba wanaishi hilo hilo nililopo so nimeona kuna haja ya kwenda kuishi somewhere else mbali na wandugu kuepusha confusion.Kwa nini inauzwa?
Asante ndugu ila kampuni yetu imejikita zaidi Dodoma.Nyumba iliyoko Mwanza karibu kabisa na ofisi za mkuu wa wilaya ya Ilemela maeneo ya Buswelu.
Ina vyumba vitatu, kimoja master bedroom, ina huge dinning and living room, public toilet, e.t.c ina boma lingine la chumba na sebule kwa ajili ya wapangaji na eneo lingine kubwa kwa ajili ya kujenga vyumba vya wapangaji.
Barabara mpaka mlangoni, umeme na maji vipo jirani kabisa.
Bei ya awali ilikuwa mil 35 ila kwa sasa imepungua mpaka mil 25.
Karibuni!
Ok. Nitakwapua hela kwa fisadi mmoja. Nitakucheki pm nikifanikiwaNimejenga sehemu ambayo nimekulia na kuzaliwa. Mama, baba, Dada, shangazi, wajomba wanaishi hilo hilo nililopo so nimeona kuna haja ya kwenda kuishi somewhere else mbali na wandugu kuepusha confusion.
That's it!
Aaaah!! Haya bhana mkuu! Kila la kheri.Ok. Nitakwapua hela kwa fisadi mmoja. Nitakucheki pm nikifanikiwa
Nakutakia mafanikio mapema mkuu. Watu wapo makini na hela zao!Aaaah!! Haya bhana mkuu! Kila la kheri.
Nakusubiri tumalize hii mambo.
Nyumba au pagala?
Teh teh! Kwa kikwete nilivuna nyumba moja na hili pagala lisiloisha kwenye awamu hii ya anko....teh hee hee.,ndo hii ulokuwa unabrag unamjengea bimdashi??
...ha ha ha..dadeki!Teh teh! Kwa kikwete nilivuna nyumba moja na hili pagala lisiloisha kwenye awamu hii ya anko.
Bi mdashi tumemjengea hapa near by lake Victoria in coast view apartment utadhani yuko Rancho Cucamonga pale Miami...sisters and brothers ndo walikuwa wahisani wakuu wa mjengo mzima, Mimi nlikuwa mini sponsor tu.
Hence, she is cool and proud of us! Thus I'm flaunting and braggin.