Nyumba inauzwa bei poa.

Kitomai

JF-Expert Member
May 21, 2009
1,063
285
Ipo Ununio, ina vyumba vutatu vya kulala, jiko, sebure na sehemu ya kulia chakula. Kiwanja chake kimepimwa na kina ukubwa wa mita za mraba 800.Bei 90mil. Maongezi yako. kukiona tuwasiliane kupitia hii nambari ya simu. 0784225000
attachment.php

attachment.php


attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php
 

Attachments

 • DSCN9597.JPG
  DSCN9597.JPG
  47.2 KB · Views: 584
 • DSCN9598.JPG
  DSCN9598.JPG
  35.7 KB · Views: 601
 • DSCN9599.JPG
  DSCN9599.JPG
  30.9 KB · Views: 584
 • DSCN9600.JPG
  DSCN9600.JPG
  29.8 KB · Views: 587
 • DSCN9601.JPG
  DSCN9601.JPG
  28.8 KB · Views: 211
 • DSCN9602.JPG
  DSCN9602.JPG
  29.1 KB · Views: 575
 • DSCN9603.JPG
  DSCN9603.JPG
  28.2 KB · Views: 565
 • DSCN9604.JPG
  DSCN9604.JPG
  30.9 KB · Views: 197
 • DSCN9605.JPG
  DSCN9605.JPG
  29.1 KB · Views: 568
 • DSCN9596.JPG
  DSCN9596.JPG
  31.3 KB · Views: 196
Mkuu mbona unaleta utani kwenye biashara, hii ni nyumba au ni kiwanja?
 
Mkuu mbona unaleta utani kwenye biashara, hii ni nyumba au ni kiwanja?

hilo ni pagala mkuu naona kitu bado kuisha....ngoma hata kupaua bado ila kwa maelezo yake kama kiko ununio ah pazuri...
 
Yaani pagale hilo mil 90 aisee you people kuweni serious. Sasa kuna kitu gani cha maana hapo kilicho fanyika mpaka iwe 90 mil jamani?
 
Yaani pagale hilo mil 90 aisee you people kuweni serious. Sasa kuna kitu gani cha maana hapo kilicho fanyika mpaka iwe 90 mil jamani?
Kitomai kakosea tu angesema kiwanja. Ununio ni baada ya Mbezi beach upande wa bahari so ardhi kule ni mali sana
 
Last edited by a moderator:
Ununio mzee pametulia sana infact ukipapata huko ni mali ila hiyo bei mzee imesimama.:boxing:
 
Yaani pagale hilo mil 90 aisee you people kuweni serious. Sasa kuna kitu gani cha maana hapo kilicho fanyika mpaka iwe 90 mil jamani?

Ununio ndiyo bei zake mkuu, hapo mpigie muongee tu kama wewe ni mnunuzi! unachonunua hapo ni kiwanja.
 
Hii ndo shida ya real estate agents wa bongo, wanainflate sana hizi properties, maendeleo yao yatakuja ila kwa taraibu sana na nyingi hufa kwasababu ya hii tabia, zinakosa sustainability!!!!!!!! haya endeleeni tuone mtakapofika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom