Kitomai
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 1,146
- 371
Ipo Kibaha. Ina vyumba vitatu vya kulala,jiko, sebure na dinning area/sehemu ya kulia chakula. Imejengwa katika kiwanja chenye ukubwa wa nusu heka. Kiwanja kina mimea tofauti tofauti kama miti ya michungwa, mananasi na minazi. Huduma ya umeme na maji ipo mita chache kutoka katika hiyo nyumba. Bei TZS 42mil.Maongezi yapo. ukihitaji kuinunua wasiliana nami kupitia simu namba 0784225000.