Bei poa,tatizo la sisi watanzania tukiuza kitu lazima kina kasoro hatupendi kuuza kitu hivihivi,kwani hicho kiwanja kina hati?ukitaka kununua nyumba namna hiyo kama haina hati inabidi uende ardhi kupata master plan,unaweza kukuta ni sehemu ya makaburi au imejengwa juu ya bomba la serikali au ni sehemu ya barabara au airport kwa hiyo kuna vitu vingi vya kuangalia.