Msingida JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 10,684 Reaction score 12,450 Jul 4, 2014 #1 Nyumba inauzwa Arusha-Sinoni,ukishukia fire. Ina umeme, maji, inafikika kwa urahisi.Ina vyumba sita na inafaa kupangisha. Bei 25,000,000/=
Nyumba inauzwa Arusha-Sinoni,ukishukia fire. Ina umeme, maji, inafikika kwa urahisi.Ina vyumba sita na inafaa kupangisha. Bei 25,000,000/=
Brakelyn JF-Expert Member Joined Oct 6, 2009 Posts 1,181 Reaction score 522 Jul 4, 2014 #2 Eneo lake ni la ukubwa gani?
Msingida JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 10,684 Reaction score 12,450 Jul 5, 2014 Thread starter #3 15m*12m
Msingida JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 10,684 Reaction score 12,450 Jul 5, 2014 Thread starter #4 itsnob said: Post bure kwenye website ya "www.dalali .co.tz" na uuze fasta! Click to expand... Asante kwa ushauri wako.Nitafanya hivyo.
itsnob said: Post bure kwenye website ya "www.dalali .co.tz" na uuze fasta! Click to expand... Asante kwa ushauri wako.Nitafanya hivyo.
Msingida JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 10,684 Reaction score 12,450 Jul 8, 2014 Thread starter #5 Bado ipo haija uzwa kwa mwenye uhitaji.
ceekay JF-Expert Member Joined Dec 22, 2011 Posts 413 Reaction score 156 Aug 2, 2014 #6 Umbali gani kutoka fire (round about)? Unaruhusu kulipa kwa awamu?