Nyumba inauzwa Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba inauzwa Arusha

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Imnyagi, Jun 10, 2011.

 1. I

  Imnyagi Member

  #1
  Jun 10, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 96
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nyumba kubwa ya ghorofa moja vyumba 4 vya kulala master bedroom 1 na min library na imezungushiwa ukuta wa matofali inauzwa iko eneo la kwa mrefu karibu na ceti garden iko umbali wa kama mt.150 kutoka barabara kuu ya lami ya kuelekea moshi bei yake 200ml. mazungumzo ya punguzo yapo na dalali asiye na tamaa anaruhusiwa kwa maelezo zaidi piga namba hizi +255 784 326 778
   
 2. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #2
  Jun 10, 2011
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280

  Nyumba ipo juu ya barabara au chini ya barabara Maeneo ya Mamuya/Denso.
   
 3. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #3
  Jun 10, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  tunaomba pichazzzz
   
Loading...