NguoYaSikuKuu
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 694
- 1,058
Mkuu acha dharau. Njoo ujione mijengo.Matejoo kwa hiyo pesa hapana...
Kwa bei hiyo anaweza kuinunua dr shika tu kwa usawa huu ila uwe mpole kusubilia mabilioni yake ya urusiNyumba ya vyumba vitatu pamoja na uwanja mkubwa inauzwa eneo la Matejoo -Arusha.
Sifa za Nyumba:-
Ina Vyumba-3 (kimoja master) ,Jiko ,Dining, Stoo, Public Toilet na Bathroom.
Maji yapo na Tank la akiba.
Ipo Barabarani na inafikika kwa urahisi sana.
Ukubwa wa Eneo :-
40 kwa 15 na eneo lililobaki ni kubwa kwa kufanya kitu kingine.
Price-millioni 65 mazungumzo yapo. Haina dalali.
Serious buyer call- 0714486466
Mkuu unaposema ipo barabarani unafukuza wateja maana kwa awamu hii barabara zimekuwa adui mkubwa wa majengo ya watu binafsi na ya Serikali..
Ungeandika hivi;
Nyumba inauzwa Arusha ipo mbali sanaaa na barabara na km 300 kutoka kwenye reli.
sio huko mkuu ni mitaa ya mairivamatejoo njooni kina janjaro jiran na ngarenaro