Nyumba inauzwa 60m

Nyumba inauzwa 60m

kamal Naseeb

Member
Joined
Jul 31, 2015
Posts
54
Reaction score
22
Nyumba inauzwa 60m iko mbagala chamazi, ina vyumba vitatu kimoja master, dining, Jiko,store, choo, sebule, eneo la parking full fenced pia Ina Hati miliki etc.

1475695053524.jpg
 
Nyumba inauzwa 60m iko mbagala chamazi, ina vyumba vitatu kimoja master, dining, Jiko,store, choo, sebule, eneo la parking full fenced pia Ina Hati miliki etc.

Mkuu hii nyumba ipo Chamazi sehemu gani na pia ni ya mtu tuu aliijenga kwa ajili ya makazi yake ndio akaamua kuiuza au ni zile za Jenga Uza?
 
Ipo chamazi magengeni, ni ya mtu ndio,imejengwa kwaajili ya makazi
 
Nyumba inauzwa 60m iko mbagala chamazi, ina vyumba vitatu kimoja master, dining, Jiko,store, choo, sebule, eneo la parking full fenced pia Ina Hati miliki etc.

Tupia picha za ndani na kuzunguka eneo zima, ukubwa wa kiwanja na nyumba yenyewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom