Mwenye nyumba natafuta nyumba ya Kupanga. Kwa mwenye taarifa anijuze. Iwe na vyumba viwili na jiko yaani chumba na sebule na jiko, bafu na choo iwe na maji na umeme.
Tafadhali hii ni kwa maeneo ya Kunduchi au Mbezi beach, Tafadhali ni-pm kama unaweza kuwa nayo.
Jamani natafuta nyumba ya kupanga vyumba viwili vya kulala, sebule, jiko na choo kwa laki na hamsini iwe na parking. Maeneo ya kigamboni, tabata kinyerezi, au kitunda.