Nyumba inapangiswa Kivule - Matembele

Nyumba inapangiswa Kivule - Matembele

Jamani natafuta watu 3 tuungane tukapange hiyo nyumba.
Kivule msimu wa mvua huu ni shida unaweza ona imezungukwa na maji,by the way nataka chumba kimoja,Maeneo ya Banana,Stakishari,Kitunda,Kivule Matembele bajeti isizidi elfu 35
 
Kivule msimu wa mvua huu ni shida unaweza ona imezungukwa na maji,by the way nataka chumba kimoja,Maeneo ya Banana,Stakishari,Kitunda,Kivule Matembele bajeti isizidi elfu 35
Shukrani kwa kunifumbua macho! Ngoja nibaki huku huku Chanika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom