oya nna upande wa nyuma mzuri sana upo buguruni njia panda ya ghana maji umeme vinapatika stand ni dk 5 tu unafika naitaji wanafunzi 10 tu ni rahisi kufika udsm au duce kila mwanafunzi atalipia 40000 tu..maswali 0713 122177
Hebu eleza vizuri ni nyumba au hostel?Kuna vyumba vingapi?Wastani wa chumba kuaccomodate watu wangapi.Huo umeme na maji tutalipia pia au ndio hiyo hiyo kodi?