Nyumba inapangishwa

Dadio

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2012
Posts
359
Reaction score
42
Nyumba inapangishwa ipo maeneo ya mwenge bei no lak tatu tu kwa mwezi. Kodi ya mwaka. Sifa zake ni nyumba kubwa ya familia, ina vyumba viwili kimoja wapo master pia ina store kubwa dinning room seating room na public toilet pia ina tiles. Maji yapo masaa24. Gari inafika mpaka mlangoni kwako. Hakuna uzio. 0713401812. Hakuna dalali.
 
Nyumba bora kabisa ya kisasa inapangishwa chanika dar es salaam bei ni laki tano kwa mwezi kwa picha zaidi nichek whatsapp 076401285
 
Nikihitaji chumba na seble?
 
Nahitaji nyumba chumba na sebule Mwanagati vizuri mwenye nacho anijuze
 
Uzuri ndugu zangu wakike nalala nao bila shida akija wa kiume atatafutiwa chumba lodge,
hicho mie nnacho vipi wakija ndugu utawalaza wapi au ndo hutaki lawama
hicho chumba kipo wapi na ni bei gani?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…