Nyumba inapangishwa

Nyumba inapangishwa

Joined
Nov 25, 2013
Posts
56
Reaction score
9
Nyumba ya chumba kimoja chenye master bedroom, sebule, jiko, dining hall, parking, inapangishwa maeneo ya makumbusho na ni nyumba nzuri sana kwano bado mpya
Bei yake ni shilingi 300,000/= kwa mwezi
Ukitaka kuiona wasiliana nami kwa sim 0716 850 695
 
Hii nimeipenda, unaweza kuweka picha kidogo za chooni, chumbani, sebuleni, jikoni, na mazngira ya nje kidogo? Na je ni nyumba ya uwani au ni sehemu ya nhyumba kubwa? Kuna wapangaji wangapi kwenye compund? Uzio je? Umeme ina mita ya kujitegemea?
Asante.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom