Nyumba inapangishwa maeneo ya Mbezi-malamba mawili. Ipo katika hali nzuri,ina vyumba vitatu,sitting room 1,na dinning room 1, ipo self container chumba kimoja vingine viwili vina vyoo vya ndani ya nyumba. Ukipanda magari yaendayo Malamba mawili,ipo karibu na Baa iitwayo Bondeni Pub,ama ukishuka eneo la Kwa Osama ulizia Buricheka ilipo. Hapo utapata full details.
Gharama: Laki moja na sabini elfu(170,000/=)kwa mwezi.
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU NAMBA 0714090900 AU 0754427873. KARIBUNI.