Nyumba inapangishwa.

deecharity

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
931
503
Habari zenu wakuu, nina nyumba napangisha ipo mkoani iringa, mahali panaitwa kihesa semtema, inavyumba vinne, self containe, car parking na uzio wenye nafasi yakutosha.. Bei tsh 150,000 kwa mwezi, malipo miezi sita.. Mwenye uhitaji anaweza kunipm.
 
that is very expensive for iringa, hiyo ni bei ya nyumba za kimara Dar.
 
Nikipata kama hii hapa moshi ntafurahi sana.
Imetulia hii hao.
 
that is very expensive for iringa, hiyo ni bei ya nyumba za kimara Dar.

Nadhani unaizungumzia Iringa ya mwaka 47 Iringa ya sasa hiyo bei ni rahisi. Iringa nyumba kama hiyo sasa lazima ianze na laki na themanini laki mbili kwa mwezi alafu unatoa ya mwaka.
 
Back
Top Bottom