Nyumba inapangishwa

kakuruvi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2009
Posts
770
Reaction score
259
3 BEDROOMS
  • 2BATHROOM
  • KITCHEN
  • LOUNGE
  • MASSIVE YARD
· 15 M X 8 M MODERN SWIMMING POOL(secured)
 

Attachments

  • house for rent.jpg
    55.7 KB · Views: 305
Nimependa swiming pool the way ilivyo treated very greensh the care inviroment!
 
Mbona car parking hakuna,mimi nimeipenda kama ataniwekea!!!!
 
Hapa sio njia ya Mtogole kweli?
 
Halafu hii serikali yetu kituko! wameshindwa hata kuweka vifusi kwenye hiyo njia ya kwa mtogole, wanataka ifanane na hizi nyumba.

Sijui ni kwanini waliweka matuta kwenye hii njia wakati yale mashimo ni matuta Tosha kabisa.
 
Mia tano kwa mwezi pamoja na umeme na maji unatakiwa kulipa miezi mitatu mitatu tu! ipo osterbay ghuba.
 
Duh, wajameni, kejeli hii nimeipenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…