Fundi umeme
Senior Member
- Jun 17, 2016
- 116
- 24
Kama kichwa kinavyojieleza nyumba ya vyumba viwili sifa za hiyo nyumba kuna vyumba viwili vya kulala na kimoja ni master pia kuna choo cha public kiko ndani na pia kuna sitting room kubwa na yenye vitu vya kisasa kama feni NA taa za urembo pia kuna maji muda wote na ina luku yake yenyewe na ina eneo la kupaki gari ata nne kwa wakati mmoja mahali nyumba iliko iko mbezi njia ya kwenda makabe na ni kituo cha kwanza ukitokea mbezi stand na ni kama mwendo wa dakika 10 kwa gari kutoka mbezi mwisho na usafiri wa daladala na boda boda muda wote kwa kodi ni laki mbili 200,000 kwa mwezi na tunaanza kupokea kuanzia miezi miwili nyumba ni mpya kabisa mawasiliano namba ya dalali 0753 505115 na 0715505115