Salamu salama... Humu ndani
Napangisha nyumba na sebule yake ambayo. Ni master yani Chumba chenye choo ndani na sebule yake pamoja na jiko vyote vipo ndani , ipo maeneo ya mwenge karibu kabisa na bamaga na ITV stend ipo ndani ya geti kama una gari parking ipo ya kutosha na maji ni uhakika 24/7 bei yake ni laki2 tu kwa mwezi
Mawasiliano zaidi 0658183618 au 0758020809
Sent using
Jamii Forums mobile app