MKATA KIU
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,481
- 8,592
Heshima kwenu wote..
Husika na kichwa cha habari hapo juu,, nyumba ya familia inapangishwa kuanzia february 1 2013..
Nyumba ina vyumba vinne vya kulala kimoja master bedrum,,
Ina umeme ( luku) na maji
Ina fensi na gate nafasi ya kupaki gari 2 ndogo na ina Tiles
Bei ni laki 3 na nusu kwa mwezi kodi miezi 6
Nyumba ipo ubungo external nyuma ya ukuta wa Export processing Zone
Aliye interested anicheki pm au kwenye "shaurimbaya @ gmail.com
NOTE : BEI HAISHUKI KAMA IPO NJE YA BUDGET YAKO USIJIPE SHIDA KUANGALIA