Habari zenu,
Nyumba mpya inapangishwa maeneo ya tegeta mivumi maeneo ya kiwanda cha wazo kwa mbele. Ni nyumba ya ghorofa moja.
Juu kuna vyumba vitatu selfu na kisebure kidogo na chini kuna chumba kimoja cha kulala,sebure,dining,store, jiko na choo cha public. Haijawahi kukaliwa na mtu na bado ni mpya.
Bei: 1000USD